Kuelekea katika ufunguzi wa ligi kuu ya England wachambuzi wengi wa Soka na wapenzi mbalimbali wa ligi hiyo wameendelea kubishana na kupishana mawazo kuhusu club itakayo chukua ubingwa waligi huku wengine wakizidi kutofautana kuhusu timu zitakazoshika nafasi nne za juu.
Wachambuz wengi wameonekana kuipa nafasi kubwa Manchester City kuchukua Ubingwa wa ligi kuu ya Engand,bila kuokopa Majina ya wachezaji wakubwa waliosajiliwa na Manchester united wala kiwango kikubwa cha pesa kilicho tumika kuwa Sajiri wachezaji hao.
Mchambuzi mmoja wa Soka anaejulikana kwa jina la Matt Barlow Amedai kua
Premier League champions: Manchester United
Rest of Top four: Chelsea, Manchester City, Tottenham
Relegated: Hull, Swansea, Burnley
FA Cup: Manchester City
League Cup: Chelsea
Champions League: Barcelona
JAMIE CARRAGHER
Premier League champions: Manchester City
Rest of top four: Chelsea, Manchester United, Liverpool
Relegated: Swansea, Hull, Burnley
FA Cup: Chelsea
League Cup: Liverpool
Champions League: Barcelona
MARTIN KEOWN
Premier League champions: Manchester City
Rest of top four: Manchester United, Arsenal, Tottenham
Relegated: Hull, Sunderland, Burnley
FA Cup: Liverpool
League Cup: Chelsea
Champions League: Bayern Munich
Post a Comment